Mafunzo ya usalama mtandaoni · Cybersecurity awareness · East Africa

Usalama wa mtandaoni,
moja kwa moja & kupimika.
Cybersecurity awareness,
delivered live & measured.

Warsha, semina na webina — jiunge kutoka simu yoyote kwa QR code. Hakuna app, hakuna akaunti. Kila kipindi kinaisha na ushahidi halisi wa kujifunza. Workshops, seminars & webinars — join from any phone with a QR code. No app, no account. Every session ends with real proof of learning.

Jiunge kwa QR · Join by QR

Changanua, weka jina lako na namba ya simu — tayari. Inafanya kazi kwenye simu yoyote, hata mtandao polepole. Hakuna app, hakuna akaunti. Scan, enter your name and phone number — done. Works on any phone, even slow networks. No app, no account, no password.

Kupimwa kwa vitendo · Measured learning

Maswali mafupi kabla na baada ya kila kipindi yanaonyesha hasa kilichobadilika — kura, hali halisi na ahadi, si slaidi tu. Quick checks before and after every session show exactly what changed — polls, scenarios and commitments, not just slides.

Cheti & ushahidi · Certificates & evidence

Washiriki wanapakua cheti; waandaaji wanapokea ripoti ya kitaalamu ya mahudhurio na mabadiliko ya ujuzi. Participants download a certificate; organizers receive a professional evidence report of attendance and knowledge change.

Inavyofanya kazi · How it works

1

Changanua & jiungeScan & join

Changanua poster ya QR kwenye ukumbi — au jisajili hapa kwa tukio la umma. Scan the QR poster at the venue — or register right here for a public event.

2

ShirikiParticipate

Jibu kura za moja kwa moja, cheza hali halisi, fanya tathmini fupi kwenye simu yako. Answer live polls, play the scenarios, take the quick assessments on your phone.

3

Pata cheti chakoGet your certificate

Maliza kipindi na upakue cheti chako papo hapo. Finish the session and download your certificate on the spot.

Matukio yajayo · Upcoming events

Hakuna matukio ya wazi kwa sasa.
Rudi hivi karibuni — au uliza shirika lako kuhusu BongoShield Workshops.
No public events right now.
Check back soon — or ask your organization about BongoShield Workshops.

Endesha warsha yako mwenyewe · Run your own workshop

Wakufunzi, washauri, benki, vyuo vikuu, NGO — toa mafunzo ya usalama wa mtandaoni yanayopimika na kura za moja kwa moja, cheti na ripoti ya kitaalamu. Trainers, consultants, banks, universities, NGOs — deliver measurable cybersecurity awareness with live polls, paper fallback, certificates and a branded evidence report.

Powered by BongoShield — usalama wa mtandaoni unaopimika measurable cybersecurity awareness